Jiunge na safari nafuu kwa wote
Ambayo watu hukubaliana bei za usafiri pamoja

Tunapambana na udhalimu na kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii zote
Kupambana na udhalimu ili kuufanya ulimwengu kuwa mahali pa haki zaidi kwa watu bilioni moja
- 982miji
- 48nchi
- 360app imepakuliwa mara milioni
App moja, huduma lukuki

Safari za mijini
Chagua safari yako, jipatie ofa nafuu kwa wote
- Abiria
- Madereva

Mji hadi Mji
Safari za raha mustarehe kwenda miji mingine: kwa muda utakao na kwa nauli nafuu
- Abiria
- Madereva

Usafirishaji wa vifurushi
Usafirishaji wa haraka wa vifurushi kwa watu binafsi na biashara
- Wateja
- Wasafirishaji
- Kwa biashara
Maadili yanayotuongoza
Watu

Watu
Tunampatia kila mmoja nafasi ili kujenga hali ya uaminifu na usaidizi Tunaendelea kufanya jitihada za kujiendeleza, kuziendeleza jamii zetu, pamoja na ulimwengu kwa ujumla, tukiangazia sifa zetu za kipekee na kusherehekea mafanikio ya timu Tunatoa na kupokea maoni kwa umakini, heshima na uaminifu

Kusudi

Kusudi
Tumejikita kikamilifu katika dhamira na maono yetu, tukiziunganisha shughuli zetu za kila siku na malengo yanayotutia hamasa Tunakuza mabadiliko chanya ulimwenguni kote, tukiwahamasisha watu wanaotuzunguka kupitia mfano wetu Tunakuza biashara yetu ili kuleta matokeo chanya — na matokeo hayo ndiyo huchochea ukuaji wetu wa kibiashara

Utendaji

Utendaji
Tunachukua hatua haraka — kupitia njia bunifu na zinazotumia rasilimali chache — ili kuhakikisha jambo linatimia Tunathamini sana kazi yetu — iwe ndani ya wigo wetu au hata zaidi ya hapo. Tunafanikiwa au kujifunza pekee

Usalama wako ndio kipaumbele chetu
Baki ukiwa salama ukitumia inDrive

Tunataka sote tuwe na uelewa sawa kuhusu suala la usalama
Uboreshaji wa jamii: kuleta mabadiliko
Ili kuongeza matokeo chanya tunayoleta katika jamii, tumeunda kitengo kiitwacho inVision
nchi
miradi
tuzo za kimataifa

Mradi unaowahamasisha vijana kuwa viongozi watakaoleta mabadiliko na kujenga ulimwengu endelevu, shirikishi na wa haki zaidi

Kutoa elimu ya shahada ya awali bila malipo, inayolenga kutatua matatizo halisi, kwa wanafunzi kutoka matabaka yote ya kiuchumi na kijamii. inVision U huelimisha waanzilishi watakaokuwa viongozi wa baadaye katika jamii na sekta ya ujasiriamali ya Asia ya Kati

Tuzo kwa wanawake waanzilishi wa kampuni changa za TEHAMA waliopelekea mabadiliko makubwa ya kimaendeleo.

Tuzo ya kimataifa kwa waanzilishi bora wa kampuni za teknolojia nje ya maeneo makubwa ya teknolojia au jumuiya za kampuni changa

Mradi wa kimataifa unaojumuisha tuzo za filamu na maabara za mafunzo zinazolenga kusaidia watengenezaji filamu kutoka tasnia za filamu zinazochipukia

Mradi usio na lengo la kuzalisha faida unaotoa mafunzo ya soka bila malipo kwa watoto waliopo katika miji midogo na maeneo yasiyofikika kwa urahisi

Kuwezesha tasnia ya mbio za riadha kufanya matukio ya riadha yaliyorafiki na yanayojumuisha kila mtu
Yanayoendelea inDrive
From Underdog to Global Company
Historia halisi ya kampuni ya teknolojia isiyo na kifani ambayo ni inDrive, kama ilivyosimuliwa na Mkurugenzi Mtendaji wake