Washindi wa tuzo za waanzilishi wanawake wa kampuni changa za TEHAMA wametangazwa

Mchakato wa kuajiri makocha kwa ajili ya mradi wa Supernovas umeanza

Maabara za Elimu za mradi wa Filamu wa Alternativa upo wazi kupokea mawasilisho

Dhamira

Tunapelekea mabadiliko katika jamii kwa kuwawezesha watu

Dhamira yetu ni kupambana na udhalimu ili kuufanya ulimwengu kuwa mahali pa haki zaidi kwa watu bilioni moja ifikapo 2030.

  • 7miradi
  • 21nchi
  • tuzo za kimataifa kwa waombaji duniani kote
map
3

miradi iliyopo Amerika ya Kilatini

2

miradi iliyopo Afrika

6

miradi iliyopo CIS

2

miradi iliyopo Asia

inVision

Ili kuongeza matokeo chanya tunayoleta katika jamii, tumeunda kitengo kiitwacho inVision

inVision hupambana na usambazaji usio wa haki wa rasilimali katika elimu, tasnia za ubunifu, kampuni changa na michezo kwa kuvifanya vitu hivi vifikiwe na wote.

Elimu

Mradi unaowahamasisha vijana kuwa viongozi watakaoleta mabadiliko na kujenga ulimwengu endelevu, shirikishi na wa haki zaidi

Elimu

Kutoa elimu ya shahada ya awali bila malipo, inayolenga kutatua matatizo halisi, kwa wanafunzi kutoka matabaka yote ya kiuchumi na kijamii. inVision U huelimisha waanzilishi watakaokuwa viongozi wa baadaye katika jamii na sekta ya ujasiriamali ya Asia ya Kati

Kampuni changa

Tuzo kwa wanawake waanzilishi wa kampuni changa za TEHAMA waliopelekea mabadiliko makubwa ya kimaendeleo.

Kampuni changa

Tuzo ya kimataifa kwa waanzilishi bora wa kampuni za teknolojia nje ya maeneo makubwa ya teknolojia au jumuiya za kampuni changa

Tasnia za ubunifu

Mradi wa kimataifa unaojumuisha tuzo za filamu na maabara za mafunzo zinazolenga kusaidia watengenezaji filamu kutoka tasnia za filamu zinazochipukia

Michezo

Mradi usio na lengo la kuzalisha faida unaotoa mafunzo ya soka bila malipo kwa watoto waliopo katika miji midogo na maeneo yasiyofikika kwa urahisi

Michezo

Kuwezesha tasnia ya mbio za riadha kufanya matukio ya riadha yaliyorafiki na yanayojumuisha kila mtu

Mimi pamoja na timu yangu tutaendelea kupambana na udhalimu pamoja na kuwezesha jamii zaidi kadiri inDrive inavyozidi kukua. Tuna mipango mikubwa

Arsen Tomsky, Mkurugenzi Mtendaji wa inDrive
Habari

Yanayoendelea inDrive